Friday, May 18, 2012

DK.SHEIN AMUAPISHA MKUU WA WILAYA MPYA KASKAZINI B.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha  Khamis Jabir Makame,kuwa Mkuu wa Wilaya ya kaskazini B Unguja, katika hafla   iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha  Mdungi Makame Mdungi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko
Ikulu Mjini Zanzibar, (kushoto) Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.
 
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
 

No comments: