Friday, May 25, 2012

HAKI ARIDHI WATOA MAFUNZO JUU YA KUTATUA MIGOGORO YA ARIDHI.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la 'HAKI ARDHI' Yefred Myenzi, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Semina ya  kutatua tatizo la migogoro ya ardhi pamoja na tatizo la kuibuka madalali na matapeli.Semina hiyo ilifanyika kwenye makao makuu ya taasisi hiyo ya utafiti na utetezi wa Haki za Ardhi yalioko Sinza jijini Dar es Salaam.
                                                        Yefred Myenzi, akizungumza.
Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu walioudhuria katika semina hiyoPICHA ZOTE NA MDAU PHILEMON SOLOMON.

No comments: