Wednesday, May 23, 2012

HIVYO HUU SI UKIUKWAJI WA SHERIA? Kubandika matangazo kwenye alama za barabarani?

 Mabango ya matangao yakiwa yamebandikwa kwenye alama za barabarani eneo la Afrika Sana kwenye kituo cha daladala kama yalivyo kutwa na Blogger, wakati akiwa Roving leo jijini Dar es Salaam.
Alama hiyo inavyo onekana kituoni hapo.

No comments: