Wednesday, May 23, 2012

JAMANI MANZESEE?

Pamoja na kuwekwa miundo mbinu ya maji taka yakutosha kwenye eno la Manzese bado wakzi wake wamekua ni wachafu kwa kutupa takataka kwenye mitaro hiyo na kushindwa kuisafisha hali wakijua kuwa watoto wao wanacheza humo, Bloger akiwa Roving aliinasa picha hii eneo la Manzese Darajani.

No comments: