Saturday, May 26, 2012

JESHI LA POLISI NA HILI NALO HAMLIONI? Vijana hawa waliozinguka turubai wakicheza kamali na kuwaliza watu kila siku eneo la Viwanja vya Mnazi Mmoja. Kama Ungekuwa mchezo halilali kusingekuwa na ugonvi kila siku na kinadada ndio wanaongoza kwa kulizwa.

 Kikundi cha vijana kikichezesha kamali huku vijana wengine wakishuhudia mchana kweupe wenzao wanavyo ibiwa na wakimwaga machozi mbele za watu huku jeshi la polisi likifumba macho.
Wanaolizwa wengi wao ni akina dada.

No comments: