Tuesday, May 15, 2012

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijaza fomu maalum ya inayo kusanya saini za watu zisizopungua 1000 kwaajili ya kumpigia kura mkunga bora mara baada ya kuzindua kampeni ya kupunguza fifo vya kina mama wajawazito na watoto jijini Da es Salaam ijulikanayo kwa jina la Stand up for African Mothers.
Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo

Mama Salma Kikwete akionyesha zawadi ya Saa aliyopewa na Shirika la kimataifa linalojihusisha na masuala ya Afya la AMREF, jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzindua kampeni hiyo, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik.
Mama Salma Kikwte akimsikiliza Mkurugenzi wa Mawasiliano wa AMREF Wanjiru Ruhanga baada ya kutembelea eneo la utoaji wa taarifa za shirika hilo kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.


No comments: