Saturday, May 26, 2012

MKUTANO MKUBWA WA CHADEMA JIJINI DAR WAFANA. Vijana wamtaka Mbowe amtimue shibuda, Heche aendelea Kukomaa kichwa asema hatahurumiwa yeyote anaetaka kukiuwa chama. Mbowe asisitiza taratibu zifuatwe kwani ndio demokrasia.

 Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwasili kwenye Viwanja vya Jangwani.
 Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Willbroad Slaa akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho kwenye Viwanja vya Jangwani jijiji Dar es Salaa.
Wanachama na mashabiki wa Chadema wakifuatilia Hotuba za Viongozi wao.
 Mzuka ukipanda banaaaa utapenda, hawa ni wale tunawaita wafurukutwa waliokunywa maji ya bendera.
 Dah Sheh alichomekea alama hii kwa Chadema inamaana kubwa sana kwa Waislamu yaani kidole kimoja, Chadema wote wakanyoosha.???
 CHADEMAAAAAA Teh teh teh eti! na 'Wathungu!' Hawa nao walikuwepo ni kutoka vyama rafiki wa Chama hicho kwenye nhi 19 Afrika na Ulaya.

 E banaee kumbe ndo Chadema hawa!? Eeee ndo wenyewe hawa ukiwasikia 2.

 Nasisi 'Wathunguuuu' tumoooo
 Wenje

 Lema
 Sugu


No comments: