Wednesday, May 23, 2012

MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI DALILI ZA UKWELI ZAZIDI KUONEKANA, Baadhi ya barabara za fungwa kupisha ujenzi.

 Eneo la Manzese Darajani.

 Sehemu ya gadeni kati ya barabara imekwanguliwa yote, kurahisisha ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo kasi.
 Hapa ni eneo la Kagera barabara itokayo Mburahati inayo katiza barabara ya Morogoro ikiwa imefungwa na kuchimbwa kabisa kwenye eneo hilo, alama ikionyesha hamna njia.

No comments: