Friday, May 4, 2012

ORODHA KAMILI YA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI HII HAPA.

1. MAWAZIRI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira Mb,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora)
George Mkuchika Mb,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (UTUMISHI)

2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr.Terezya P.L Huvisa, Mb, Mb.,

3. WIZARA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samwel Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa Ujenzi
Dr.John P. Magufuli Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr.Hussein A.H. Mwinyi Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr.Shukuru J. Kawambwa Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mb.,
Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr.David Mathayo David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu Gaudencia Kabaka, Mb.,

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof.Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof.Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa Maji
Prof.Jumanne Maghembe, Mb.,

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Prof.Mark Mwandosya, mb.,

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika
Eng.Christopher Chiza, Mb.,

Waziri wa Uchukuzi
Dr.Harrison Mwakyembe,Mb.,

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo
Dr.Fenella Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, mB.,

Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa,Mb.,

4. NAIBU MAWAZIRI

5. OFISI YA RAIS

Hakuna Mawaziri.

6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,

7. OFISI YA WAZIRI MKUU
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Majaliwa K. Majaliwa Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggey Mwanry, Mb.,

8 WIZARA MBALIMBALI

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr.Makongoro M. Mahanga, Mb.,

Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadh J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Ndugu Goodluck J. oLE-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A mULUGO, Mb.,

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge,Mb.,

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Seif Suleiman Rashid, Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr.Charles J Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr.Binilith Mahenge, Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephene Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki,Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha Ndugu Janneth Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, Mb.,

MWISHO


No comments: