Wednesday, May 2, 2012

RAIA WA NIGERIA ATIWA NGUVUNI NA KG1.12 ZA COCAIN AIR PORT DAR.


 Dawa za kulevya zilizokamatwa na Jeshi la Polisi kupitia kitengo chake maalum cha kudhibiti dawa hizo, Jina la Mnigeria huyo ni Princewill Ejike miaka 37 alikuwa na Pasport yenye namba za usajili AO1356861.
Kamanda wa Polisi Godfrey Nzoa akiwa na pipi za dawa za kulevya aina ya Cocain ambayo alidakwanayo Raia wa Nigeria aliyekuwa anajiandaa kupanda ndege ya Kenya Airways kwenda Monrovia (Laiberia) kupitia Nairobi. Dawa hizo alikuwa amezimeza na kuzihifadhi tumboni thamani halisi ya dawa hizo kwa Tsh ya Tanzania ni 50,450,000.

No comments: