Saturday, May 12, 2012

RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA WIZARA YA ARIDHI ZNZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya watendaji wa Idara mbali mbali za Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati, wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika mpango wake wa kuzungumza na kila Wizara katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

No comments: