Wednesday, May 23, 2012

SIMBA KUSHEREHEKEA UBINGWA JUMAPILI MEI 27.

Klabu ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam inatarajia kufanya Sherehe kubwa ya Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, baada ya kunyakua kikombe hicho hivi karibuni. Sherehe hizo zinatarajiwa kufanyika kwenye Viwanja vya Dar Live vilivyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.

No comments: