Sunday, May 6, 2012

SIMBA YALETA MAAFA KWA YANGA, Viongozi wanatafutana kwa udi na uvumba. Mchawi hajajulikana.

 Wachzaji wa Simba wakitambaa uwanjani ikiwa ni staili ya kushangilia mara baada ya kumtundika Yanga Goli 5-0.
 Hapa wanashangilia goli la kwanza kabisa.
 Sunzu akipaza sauti kwa mashabiki.
 Mchezaji wa Yanga Shadrack Nsajigwa akiwa juu ya Emmanuel Okwi, hata hivyho Nsajigwa aliongoza kwa kucheza faulu nyingi kwenye mechi hiyo.
 Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukamilika kwa mchezo huo.
 Mashabiki wa Simba wakiwa na Sananamu la Mnyama Simba wakiwadhihaki mashabiki wa Yanga.
 Kocha wa Simba akilibusu Kombe mara baada ya kukabidhiwa

Hapa Okwi baada ya kuipiga yanga goli lake la pili akiwaonyesha mashabiki huku amiri maftah akionyesha kiate kulichopachika mabao hayo.

No comments: