Wednesday, May 23, 2012

TIGO YATANGAZA HUDUMA MPYA IJULIKANAYO XTREME PACK.

Meneja wa huduma ya Malipo kabla wa kampuni ya Tigo Suleiman Bushagama, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuanza kwa huduma mpya ya kampuni hiyo ijulikanayo kwa jina la 'Xtreme Pack' itakayo anza leo kwa wateja wote, kulia ni afisa habari wa kampuni hyo Alice Maro.
 Wapiga picha wa Vituo vya TV wakichukua picha za tukio la uzinduzi wa huduma hiyo.
 Umakini ni jambo la Msingi kazini waone hawa kila mmoja anahakikisha anapata anachotaka.
23 Mei, 2012, Dar es Salaam.
Kampuni ya Simu za Mikononi ya Tigo leo imezindua promosheni ijulikanayo kama 'Xtreme Pack' kwaajili ya mawasiliano ya jumla yanayopatikana muda wowote.

Mteja ataweza kujiunga kwa kupiga *148*01# au kutuma neno xtreme kwenda namba 15509.
Wateja wa huduma za kulipia kabla watafurahia huduma hizo ikiwemo pamoja na dakika 15 za muda wa maongezi zitakazotumika kupiga simu tigo kwa tigo. 
SMS 100 na mb 50 kwaajili ya kuperuzi facebook, mtandao email pamoja na twitter ikiwa ni kwa gharama ya Tsh450.

 “Tunatafutanjiathabitiyakuhakikishakuwawatejawetu
wanapatahudumazinazoendananathamaniyapesazao”alisema Alice MaroambayeniafisauhusianowaTigo. “Kwakupitiapromoshenihiimpyawatejawatawezakutumia
hudumazakusisimuakutokasimuza apps, ambazohudumanamaudhuiyakehuboreshamaisha,
kazinastarehezao. Kuridhikakwamtejanikitu cha muhimusanakatikabiasharayetu,

Kuhusu Tigo:
 Tigo ni mtandaowa simuzamkononi wa kwanza Tanzania, ulianzabiasharamwaka 1994 na ni mtandaowasimu Tanzania wenyeubunifuwahaliyajuunabeinafuukupitazotenchiniunaotoa
hudumakatikamikoa 26, Tanzania Bara na Zanzibar. 

Tigo ni sehemuya Millicom International Cellular S.A (MIC) na hutoa hudumazasimuzamkononikwagharama
nafuunainayopatikanamaeneomengikiurahisikwa watejazaidiya
milioni 43 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na AmerikayaKusini.

No comments: