Friday, May 18, 2012

TIGO YATANGAZA WASHINDI WA SHINDANO LA FREE AIRLINE TICKET.

 Meneja wa Miradi wa Kampuni ya Tigo Jacquelene Nnunduma, akitangaza washindi wa shindano la tiketi ya bure ya ndege kwa wateja wanaopiga simu nnje ya nchi, ambapo mshindi wa kwanza amepata tiketi ya ushindi kwenda kwenye nchi aliyopiga sana simu, kulia ni Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Alice Maro.

 Mmoja ya washindi 49 waliojishindia simu aina ya Ideo Ashura Kimbengele ambayo ni sehemo ya zawadi kwenye shindano hilo, kulia niAfisa Uhusiano Alice Maro.
 Mshindindi mwengine wa Simu Lackson Mpangala.
 Mshindi wa Tiketi ya ndege Alley Baya Mwaro, ambaye ameibuka kidedea kwenye shindano hilo na kupata Tiketi ya kwenda na kurudi nchini Kenya akipokea tiketi yake kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Tigo Alice Maro katikati ni Jacqeuline Nnunduma.


Washindi ambao waliwasili kuchukua zawadi zao kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam isipokua wa mikoani.

No comments: