Thursday, May 24, 2012

WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI WA TZ WAPATIWA SEMINA, Lengo kuongeza uelewa, juu ya katiba na mambo ya Msingi kama taifa.

Mbunge wa Maswa John Magale Shibuda, akichangia mada kwenye semina elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, semina hiyo ya siku mbili inafanyika Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiimba wimbo wa Jumuiya hiyo wimbo wa Jumuiya hiyo jijini Dar es Salaam, wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.

Mwezeshaji wa Semina Elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Prof.Palamagamba Kabudi, akitoa mada ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano na utekelezaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam.

No comments: