Friday, May 18, 2012

WAKAZI WA DAR NAMNA WALIVYOMUAGA MAFISANGO.

 Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Amir Maftah (kushoto) na Mwinyi Kazimoto wakiongoza Msafara wa Timu hiyo uliobeba jeneza la mwili wa Stevin Mutesa Mafisango kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo.
 John Boko na Juma Nyoso wakiwa na jeneza la Mafisango.
 Wachezaji wa Stars
 Wakazi wa Dar es Salaam wengiwao wakiwa ni mashabiki wa Soka waliojitokeza kwenye viwanja hivyo.

 Baadhi ya Waandishi wa habari za michezo wakifuatilia matukio.
 Mkurugenzi wa michezo nchini Leonard Thadeo (kushoto) wakiteta jambo na Mnazi wa Simba na mfadhili wa zamani wa Timu hiyo Azzim Dewji.

 Askari wa Usalama Barabarani akiongoza msafara wa jeneza kutoka muhimbili wakati wakiwasili kwenye viwanja vya TCC.
 Gari Maalum lililobeba mwili wa Mafisango likiwasili.

 Moja ya ndugu wa Karibu wa Mchezaji huyo kutoka nchini DRC akilia kwa uchungu viwanjani hapo.

 Juma Kaseja naye alishindwa kujizuia.
 Waombolezaji wengine walikua Juu ya Jengo la Club ya TCC.
 Baadhi ya Waombolezaji.

 Kina mama walijitokeza nao kwenye maombelezo hayo ya kuaga mwili wa Patrick Mutesa Mafisango.

 Kaseja.


Eneo la Tukio kwa Juuu likionekana hivi.

No comments: