Wednesday, May 2, 2012

WANA CCM DAR WASEREBUKA KUSHEREHEKEA USHINDI WA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UBUNGE YA JIMBO LA SEGEREA BAADA YA MAKONGORO MAHANGA KUIBWAGA CHADEMA MAHAKAMA KUU JIJINI HUMO.

 Wana CCM wakiwa barabarani kwenye viunga vya jiji la Dar es Salaam.
 Msanii wa Filam maarufu kwa jina la Dokii akiwa na wana CCM wenzake wakiserebuka kusherekea ushindi wa Mbunge wa Segerea baada ya kukibwaga chini chama cha CHADEMA kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Jimbo hilo, ambapo mlalamikaji Fred Mpendazoe anadaiwa kutokuwasilisha vielelezo vya kutosha kuishawishi mahakama kufuta matokeo ya jimbo hilo.
 DOKII
 DOKII
 DOKII
 Wana CCM hao ndani ya Maktaba Squarer eneo la Poster jijini Dar es Salaam

No comments: