Wednesday, January 30, 2013

BARAZA LA WAWAKILISHI LAFUNGWA.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho akiwa na baadhi ya viongozi akitoka nje ya Ukumbi wa Baraza hilo mara baada ya kuuahirisha Mkutano wa Kumi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Mwakilishi wa Viti Maalum CUF Katikati ambae pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Zahra Ali Hamadi kulia ni Mh. Shawana Bukheit Hassan Mwakilishi wa Jimbo la Dole.
Balozi Seif Ali Iddi akitoa Hotuiba ya ufungaji wa Mkutano wa Kumi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.No comments: