Wednesday, January 23, 2013

MWENYEKITI KAMATI YA BUNGE KATIBA SHERIA NA UTAWALA PINDI CHANA AKUTANA NA UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.

Mwenyekita wa Kamati ya Bunge Katiba Sheria na Utawala Pindi Hazara  Chana, akizungumza na Wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka ,2012/2013 kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano  Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekita wa Kamati ya Bunge Katiba Sheria na Utawala Pindi Hazara  Chana akizungumza na Wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka ,2012/2013 kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano  Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charls Kitwanga, Katkbu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Tume za Haki za Kibinadam jijini Dar es Salaam leo.

No comments: