Sunday, January 27, 2013

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA AZINDUA MAGARI 10 YA KUSAFIRISHA MAHABUSU.

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima akikata utepe kuzindua rasmi jukumu la kuwasafirisha Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi Gerezani kwa Mkoa wa Pwani.

Sehemu ya magari 10 ya kuwasafirisha Mahabusu yaliyozinduliwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima katika hafla iliyofanyika Gereza la Mahabusu Ubena mkoani Pwani.

Sehemu ya magari 10 ya kuwasafirisha Mahabusu yaliyozinduliwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima katika hafla iliyofanyika Gereza la Mahabusu Ubena mkoani Pwani.

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima akiwa ndani ya moja ya Basi la kuwasafirishia Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi Gerezani mkoani Pwani.

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja akitoa hotuba fupi ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima ili azungumze na Maafisa wa Jeshi hilo kabla ya uzinduzi wa magari ya 10 ya kuwasafirisha Mahabusu mkoani Pwani.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.No comments: