Sunday, January 27, 2013

RAIS MSTAAFU ALLI HASSAN MWINYI ATOA MAONI KWA TUME YA KATIBA MPYA.

Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akizungumza na Wajumbe waTumeya Mabadiliko ya Katiba walioongozwa na Mwenyekitiwa Tume hiyo Jaji, Joseph Warioba (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
MwanasheriaMkuuwazamaniwaSerikali, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika jijini Dar es Salaam jana katika ofisi za Tume hiyo kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu AugustinoRamadhani.
MwanasheriaMkuuwaSerikaliyaMapinduziya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika kwenye ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake  kuhusu KatibaMpya kwaTume. Kulia ni Mwenyekiti wa Tumehiyo, Jaji Joseph Warioba.
Raisimstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha na mawazo na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu mstaafu, AugustinoRamadhani (kulia).
No comments: