Sunday, January 27, 2013

WATU 232 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA MOTO KWENYE KLABU YA USIKU

Klabu ya Usiku kwenye jiji la Santa Maria nchini Brazil ikiteketea kwa leo na kua zaidi ya watu 232 ambapo idadi hiyo inaweza kuongezeka kutokana na kuwepo majeruhi wengi. Zaidi ya watu 3000 wakuwemo ndani ya Klabu hiyo wakatgi moto unatokea.
Muokoaji akijaribu kumsaidia mmoja wa majeruhi kwenye ajali hiyo ambayo mamia ya watu wamepoteza maisha. Picha na AP.

No comments: