Friday, February 15, 2013

AISHA MASHAUZI APATA KITAMBULISHO CHA TAIFA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha baada ya
kumkabidhi kitambulisho cha Taifa, Asha Mashauzi, (msanii) akiwa miongoni mwa wananchi kutoka Tanzania Bara waliopewa vitambulisho vyao katika hafla ya utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, kwa mara ya kwanza kwa Upande wa Zanzibar, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.

No comments: