Sunday, February 24, 2013

AJALI IRINGA!

Ajali hii iliyohusisha magari mawili,Toyota Rav 4 na Toyota Cresta imetokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la jirani na Maktaba ya mkoa,mjini Iringa,ambapo gari hiyo aina ya RAV 4  iliruka ukingo la barabara  uliojengwa kwa sementi na kutua juu ya Gari hiyo aina ya Toyota Cresta (Taxi) na kushindwa kuendelea na safari.inasemekana kuwa isingesimama gari hiyo aina ya Toyota Cresta,basi dereva wa gari hiyo aina ya Rav 4 labda angekuwa katika wakati mgumu zaidi au kuoteza maisha kabisa. hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hiyo. Picha na Meshack Maganga-Iringa
Baadhi ya wananchi wakishuhudia magari hayo.

No comments: