Saturday, February 23, 2013

BODI YA WAKURUGENZI YA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WAKUTANA NA RAIS.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI) Abdulswamad  Said Ahmed, baada ya mazungumzo na
Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii, pamoja na jumuiya ya makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,
Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI) Abdulswamad Said Ahmed, akitoa Ripoti ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii, pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) kwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Mjumbe wa Bodi  Bobby Myenna.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  wa Jumuiya ya Wawekezaji  katika  sekata za Utalii, (ZATI) pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,


No comments: