Monday, February 25, 2013

DK.SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA UMOJA WA FALME ZA KIARABU NA MSUMBIJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Mallalla Mubarak Al Ameir,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili  ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Msumbiji nchini Tanzania Dr.Vicente Mebunia Veloso, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais, leo.

No comments: