Tuesday, February 19, 2013

JIMAMA LAFANYA VITUVYAKE!

Mmoja wa mashabiki wa fani ya unenguaji  kulia akimpingia makofi baada ya kumtunza Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' ambaye anaonekana akifanya vibwanga vyake  wakati wa maonesho ya bendi ya Mashauzi Classic katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam
Unamanenoooooooooooo?
Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es Salaam.
Twende kazi mpaka Chiiiiniiiiiiiiiii!

No comments: