Friday, February 15, 2013

KAMATI YA BAJETI YA BUNGE LA SHIRIKISHO LA UJERUMANI IPO NCHINI KUFUATILIA MIRADI INAYOIFADHILI.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na  Uongozi wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Shirikisho la Ujerumani unaofanya ziara ya siku sita Nchini Tanzania Kuangalia miradi iliyofadhiliwa na Nchi hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisisitiza jambo kwa Kiongozi wa Ujumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la shirikisho la Ujerumani  Bwana Claude Peter walipo zungumzia masuala ya miradi ya Kijamii hapa Nchini.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika Picha ya pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Shirikisho la Ujerumani mbele ya lango la Ofisi yake iliyopo Vuga mara baada ya mazungumzo yao. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ

No comments: