Tuesday, February 5, 2013

KASKAZINI MABINGWA FAINALI YA DK.SHEIN CUP.

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wachezaji wa  Timu ya Mjini Magharibi CCM, kabla ya pambano na Timu ya Kaskazini CCM, mpambano hu wa failani ya Dokta Shein Cup,  katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja, katika kilele cha Mika 36 ya Kuzaliwa CCM.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wachezaji wa  Timu ya kaskazini Unguja, kabla ya pambano na Timu ya Mjini Magharibi CCM, mpambano hu wa failani ya Dokta Shein Cup,  katika Uwanja wa Amaan Studiu  Mjini Unguja, katika kilele cha Mika 36 ya Kuzaliwa CCM.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na waamuzi wa Pambano la Fainali kati ya Timu ya kaskazini Unguja na Mjini CCM, Dk.Shein Cup uliochezwa katika uwanja wa Amaan Studium, kaskazini iliweza kuicharaza Mjini kwa mabao 3-1 na kuibuka na kombe hilo, katika kilele cha miaka 36 ya kuzaliwa CCM.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kombe la Dk.Shein Nahodha wa Timu ya Kaskazini Unguja CCM Ali Hassan,baada ya timu yake kuibuka kidedea dhidi ya Mjini kwa mabao 3-1,katika uwanja wa Amaan Studium,katika kilele cha mika 36 ya kuzaliwa CCM.
Mashabiki wa timu ya kaskazini Unguja CCM, wakishangilia wakati timu ya CCM Mkoa mjini walipo ifunga goli la Tatu katika mchezo wa Fainali ya Dk.Shein Cup, mchezo uliofanyika leo katika uwanja wa Amaan, katika kilele cha miaka 36 ya kuzaliwa CCM, mgeni rasmi alikuwa  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, kaskazini iliibuka 3-1.

No comments: