Saturday, February 23, 2013

MANENO OSWARD ATAMBA KUMCHAKAZA KASEBA.

Bondia Maneno Osward akijifua kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa dhidi ya Japhert Kaseba March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Dar es salaam.
Bondia Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' akifanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa dhidi ya Japhert Kaseba March 2 kwenye ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Dar es salaam.
Mabondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba walipokutana kwa ajili ya kuzungumzia mpambano wao utakaofanyika March 2 kwenye ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Dar es salaam

No comments: