Wednesday, February 20, 2013

MBUNGE WA UINGEREZA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI DK. EMMANUEL NCHIMBI.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (katikati), ambaye amekuja nchini kwa ziara ya kikazi. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali John Minja. Waziri alibadilishana mawazo na mbunge huyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments: