Saturday, February 9, 2013

MIYEYUSHO, MOMBA KUZICHAPA SIKU YA PASAKA.

Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Sadiki Momba (wapili kulia) wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka, wanaoshuhudia (wapili kushoto) ni Promota wa mpambano huo, Kaike Siraju na Makamu wa Rais wa PST, Aga Peter(kulia)
Mabondia Fransic Miyeyusho (kushoto)  na Sadiki Momba wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka.

No comments: