Thursday, February 28, 2013

MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA AKUTANA NA DK.SHEIN ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongie, alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili  ya mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongie, alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman, IKulu.

No comments: