Friday, February 8, 2013

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA AKIBA NA KUKOPA CHA JESHI LA MAGEREZA WAFUNGULIWA.


Baadhi ya wajumbe wa TPS Saccos wakifurahia jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil alipokuwa anatoa hotuba yake ya ufunguzi wa makutano huo.  

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja akitoa hotuba fupi ya kumkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil.

Katibu Mkuu, Mbarak Abdulwakil akipokea shairi alilolisoma Mtunzi wa Mashairi katika Jeshi la Magereza, Rashid Mtimbe (kushoto).

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wanne waliokaa kutoka kushoto) akiwa na wajumbe mbalimbali wa Chama cha Akiba na Kukopa (TPS Saccos) katika picha ya pamoja.

No comments: