Friday, February 8, 2013

MKUTANO WA SITA WA MAFUTA WAFUNGWA ARUSHA.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufunga Mkutano wa sita wa Mafuta wa Mataifa ya Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Arusha kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein.
Makamu wa Pili wa  Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoka kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha ( AICC ) Baada ya kufunga Mkutano wa Mafuta na Maonyesho wa Afrika Mashariki  kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Mh. George Simba Chawene, (Wapili kulia)Waziri wa Nishari wa Uganda Mh. Irin Muloni na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mheshimiwa Jesca Eriyo.

No comments: