Wednesday, February 27, 2013

MUONGOZO WA MABADILIKO TABIA NCHI KWA WAKULIMA,WAFUGAJI WAJADILIWA LEO.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula (kushoto) akifungua Warsha ya Wadau ya Kupitia na Kujadili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Nihgu, warsha imefanyika Bagamoyo leo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akimsikiliza jambo Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Raisi Bw Richad Muyungi mara Baada ya Ufunguzi waWarsha ya Wadau wakupitia na Kujadili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akiwa katika Picha ya Pamoja na Washiriki wa Warsha ya Kupitia na Kujadili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini
Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Richad Muyungi akimwambia jambo Afisa Mazingira Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Daniel Nkondola, mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Wadau wa Kujadili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini kwenye warsha iliyofanyika Bagamoyo leo.. Picha na Ali Meja

No comments: