Saturday, February 23, 2013

MWAIKIBAKI ALIVYOKAMILISHA ZIARAYAKE JIJINI DAR.

Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jeneral John Minja (kushoto) akimkabidhi zawadi maalum ya kiti Rais Mwai Kibaki wa Kenya.
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki (kushoto) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Magareza nchini, Kamishna Jenerali John Minja kabla ya kuingia ndani ya  Kiwanda cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam. Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi, anayefuata ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Pereira Ame Silima.
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki (wapili kutoka kulia) akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa pili kutoka kushoto),  Mkuu wa Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja (kulia) pamoja na maofisa mbalimbali kutoka nchini na Kenya, wakiingia ndani ya kiwanda hicho.
Rais Mwai Kibaki (watano kushoto) akiwafurahia Askari Magereza na ofisa kutoka nchini Kenya wakiwa wamekaa kwenye kiti cha wapendanao kilichotengenezwa na wafungwa kiwandani humo.

Mshauri Mtaalamu wa Mradi wa Kiwanda cha kutengeneza kofia ngumu katika Jeshi la Magereza, Alpherio Moris (kulia) akimuonyesha Rais Mwai Kibaki moja ya kofia ngumu (Helmet) ambayo inatarajiwa kutengenezwa na kiwanda cha magereza Ukonga hivi karibuni.

No comments: