Friday, February 15, 2013

Rais wa Zanzibar alivyokutana na Mabalozi wa Canada na Cuba nchini.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexandre Leveque, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania Jorge Luis Lopes,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza  na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania Jorge Luis Lopes, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na  Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexandre Leveque, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

No comments: