Wednesday, February 6, 2013

STARS YAIPELEKESHA CAMEROON! WAIPIGA GOLI 1-0, Mashabiki wapongeza kiwango cha stars.

Mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Samatha akimtoka beki wa timu ya taifa ya Cameroon kwenye mchezo uliofanyika leo kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo, ambapo Stars ilichomoka na ushindi wa 1-0.
Samatha akiitesa ngome ya Cameroon.
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Erasto Nyoni (kushoto) akiondoka na mpira mbele ya beki nambari tatu wa Cameroon.
Patashika nguo nuchanika ndivyo ilivyokua kwa Stars.

No comments: