Tuesday, February 5, 2013

TAIFA LINAWATEGEMEA! Kuna kila sababu yakushinda mpambano wa leo.

Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta, akiambaa na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya jana, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon leo kwenye Uwanja huo.
Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Shaaban Nditi, akiambaa na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya jana, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon utakaofanyika leo kwenye Uwanja huo.
Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Salum Abubakar, akiondoka na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon utakaofanyika leo saa 11 jioni kwenye Uwanja huo.

No comments: