Monday, February 25, 2013

TIBAIJUKA AMALIZA MGOGORO WA ARIDHI NGORONGORO.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)akizungumza na wananchi wa vijiji vya Olorien Magaiduru na kijiji cha Mgongo, Kata ya Samunge katika ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani Ngorongoro na kufanikiwa kumaliza mgogoro wa muda mrefu ambao ngazi zote za Mkoa huo zilishindwa.
Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani,Dk Selassie Mayunga akiwa amejumuika na wananchi wa kijiji cha Sale,wilayani Ngorongoro  kwenye mkutano uliokuwa unahutubiwa na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka  kwenye ziara ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani humo.

No comments: