Friday, February 8, 2013

UJUMBE KUTOKA KITUO CHA BIASHARA DUNIANI (ITC) WAKUTANA NA DK.SHEIN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka  Kituo cha Biashara  Duniani (ITC), Jacky Charbonneau, akiongoza ujumbe wa watu wanne waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo  leo.
Ujumbe wa watu wannne kutoka  Kituo cha Biashara  Duniani (ITC),unaoongozwa na Bw, Jacky Charbonneau,(kulia) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko, walipofika Ikulu mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Ujumbe kutoka  Kituo cha Biashara  Duniani (ITC), unaoongozwa na Jacky Charbonneau,ambapo ujumbe  huo wa watu wanne walifika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo  Rais.

No comments: