Saturday, February 2, 2013

UWEKEZAJI WA MAHOTELI SINGIDA MJINI, BALOZI SEIF AZINDUA JIWE LA MSINGI.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizindua jiwela la Msingi la ujenzi wa Mradi mkubwa wa Katala Beach Hoteli uliyopo pembezoni mwa Bwawa la Singida Mjini Singida ikiwa shamra shamra za maadhimisho ya kutimiza miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM
Kikundi cha Utamaduni cha Mkoa wa Singida kikitumbuiza wakati wa mapokezi  ya mlezi wa mkoa huo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Mara baada kuwasili Mkoani humo kwa ajili ya kuongoza matembezi ya mshakamano kutimiza miaka 36 tokea kuzaliwa kwa CCM Mwaka 1977.
Mlezi wa Mkoa wa Singida kichama ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akipanda mti wa kumbukumbu akiwa sambamba na mmiliki wa mradi huo Nd. Katala Kitila mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Katala Beach Hoteli Mjini Singida.

No comments: