Tuesday, February 12, 2013

WAJUMBE WA KAMATI KUU CCM WACHAGULIWA DODOMA.

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipigira kura kuchagua wajumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika ukumbi wa White House uliopo makao makuu ya CCM mjini Dodoma jana jioni.Kushoto ni  Makamu wa Mwenyekiti CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein, Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakipiga kura zao kuwachagua wajumbe wa Kamati kuu jana jioni mjini Dodoma katika ukumbi wa White House (picha na Freddy Maro).

No comments: