Friday, February 15, 2013

WARSHA YA MAAFISA WA MAZINGIRA WA MAJIJI JIJINI DAR.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Sazi Salula akifungua Warsha ya Maafisa Mazingira wa Majiji  kuhusu kukuza uelewa wa kuandaa taarifa ya Hali ya Mazingira   kwa  Majiji ya Mwanza,Arusha, Mbeya na Tanga. Warsha hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam
 
Baadhi ya Maafisa Mazingira wa Majiji Wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais[pichani hayupo] alipokua anafungua Warsha ya Majiji kuhusu Kukuza Uelewa wa Kuandaa Tarifa ya Hali ya Mazingira ya Majiji iliiofanyika Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofis ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Mazingia UNEP Bi Clara Makenya Mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Maafisa wa Mazingira wa Majiji. Picha na Ali Meja

No comments: