Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa (katikati) akionyeshwa Mfumo wa Maji Taka na Meneja
Mazingira Bw Dominick Mariki wakati Waziri alipofanya Ziara ya Kutembelea
Kiwanda cha Bia cha Serengeti cha Jijini Dar es Salaam
ambacho wananchi wanakilalamikia kinawamwagia Maji Machafu katika Mtaa wa
Chamwenyewe Chang'ombe.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akimsikiliza Bi Mwaka Washokela kuhusu
Malalamiko ya Umwangaji wa Maji Machafu ya Kiwanda cha Bia cha
Seregeti katika Mtaa wa Chamwenyewe, Changmbe Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira Terezya Huvisa akimsikiliza Operesheni Meneja wa Kiwanda cha Bia
cha Serengeti Shekhor Mokosare, Waziri alifanya Ziara
ya kukagua na kuangalia Uchafuzi wa Mazingira Unaoyanywa
na Kiwanda cha Bia cha Sereneti cha Jijini Dar es Salaam Picha na Ali Mea
No comments:
Post a Comment