Sunday, March 3, 2013

BALOZI SEIF ATEMBELEA JIMBONI KWAKE.

Mwakilishi wa jimbo la Kitope na Mjumbe wa Kamat Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, ambaye pia ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanziba na Mbunge wa Bunge la Tanzania kupitia Baraza la Wawakilishi Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi vifaa vya ujenzi Mwenyekiti wa CCM Tawi la Boma Ndugu Bakuda Edwanr kwa ajili ya uendelezaji ujenzi wa Tawi hilo jimbo la Kitope wilaya ya Kaskazini B.
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akiangalia Kisima muda mfupi kabla ya kukikabidhi  kwa ajili ya matumizi ya wananchi wa Kijiji cha Boma Jimbo la Kitope mjini Unguja.

No comments: