Wednesday, March 13, 2013

DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA KASKAZINI UNGUJA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kufungua Skuli ya msingi ya Matetema Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo akiwa katika ziara ya mkoa
wa kaskazini, kuangalia maendeleo ya jamii ya Mkoa huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akitembelea madarasa ya Skuli ya msingi ya Matetema Wilaya ya Kaskazini B Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa
wa kaskazini, baada ya kitendo cha ufunguzi wa Skuli hiyo.

Watoto Hairat Makame Mcha na Halima Khamis Juma, wakisoma utenzi maalum kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake alipofungua Skuli ya
msingi ya Matetema Wilaya ya Kaskazini B Unguja jana akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini.
Viongozi mbali mbali waliojumuika katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, pia Mbunge wa Jimbo la Kitope, akitoa salamu zake kwa wananchi wakati wa ufunguzi wa Skuli ya msingi ya Matetema Wilaya ya Kaskazini B Unguja iliyofuliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi na wanafunzi wa Skuli ya msingi ya Matetema Wilaya ya Kaskazini B Unguja, iliyofuliwajana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisikiliza maelezo kutoka mfugaji wa ng’ombe wa maziwa Seif Daudi Suleiman, alipomtembelea mfugaji huyo kuona maendeleo yake kwa kazi kubwa aliyoifanya, akiwa katika ziara ya mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments: