Friday, March 8, 2013

DK.SHEIN AKAMILISHA ZIARA WILAYA YA MAGHARIB.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu, Dk.Juma Malik
Akili, (kushoto) alipotembelea  maendeleo ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege, unaoendelea,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja iliyomalizika jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kuweka jiwe la msingi ukumbi wa mikutano wa Ushirika wa Meli Nne Saccos, alipokuwa katika katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja iliyomalizika jana.

No comments: